Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa na milipuko, sare za jeshi, bendera translation - Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa na milipuko, sare za jeshi, bendera English how to say

Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa

Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa na milipuko, sare za jeshi, bendera ya Al Shabaab
Morogoro.
Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini Somalia. Vitu vingine ni pamoja na madaftari yaliyoandaikawa kwa lugha ya Kiarabu na vitabu ambavyo havikufahamika kazi yake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo limetokea Aprili 14, 2015 majira ya saa 3.30 usiku katika kitongoji cha Nyandero, tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero. Watu hao pia walikutwa na nyaya, majambia, bisibisi, vifaa vya kuficha uso, misumeno ya chuma, spana na stakabadhi.
Aidha alisema siku ya tukio polisi walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu watu hao na kwamba walitaarifiwa kuwa wanajihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu na polisi waliamua kufatilia nyendo zao.
Kamanda huyo alisema walianza kuwasaka watu ambao walipata taarifa wapo katika Msikiti wa Suni uliopo Kidatu.
“Polisi walipofika katika msikiti huo waliuomba uongozi wa msikiti huo kuwatoa watu wote waliokuwa msikitini ili kuweza kubaini watu ambao wanatiliwa mashaka,”
Alisema polisi waliendelea na ukaguzi na kuwakamata watu hao 10 wakiwa na vifaa hivyo na kuwatia nguvuni.

0/5000
From: -
To: -
Results (English) 1: [Copy]
Copied!
10 people were arrested mosque with explosives, uniforms, army, flag of Al Shabaab
Morogoro.
10 people are being held by police in Morogoro after the arrest of the mosque with 30 explosives, uniforms, military and black flags allegedly used by the militant group Al Shabaab's Somalia. Other items include notebooks yaliyoandaikawa in Arabic and books that could not be understood his work.
Speaking to journalists today, police commander in Morogoro, Leonald Paul said the incident occurred April 14, 2015 summer at 3:30 at night in the neighborhood of Nyandero , divisions Kidatu Kilombero district. These men were also found and cables, daggers, screwdriver, facilities hide the face, saws metal, spana and receipts.
In addition he said the day of the incident the police had information from the good citizens of them and that they were informed that they are involved in numerous cases of crime and Police decided to follow their movements.
The commander said they began to hunt down people who received notice, in the mosque of Sunni prevailing Kidatu.
"Police arrived at the mosque they pray leadership mosque excommunicated all who had the mosque in order to identify people who are under suspicion,"
said the police they continue to audit and arrested 10 men with the same material to bind.

Being translated, please wait..
 
Other languages
The translation tool support: Afrikaans, Albanian, Amharic, Arabic, Armenian, Azerbaijani, Basque, Belarusian, Bengali, Bosnian, Bulgarian, Catalan, Cebuano, Chichewa, Chinese, Chinese Traditional, Corsican, Croatian, Czech, Danish, Detect language, Dutch, English, Esperanto, Estonian, Filipino, Finnish, French, Frisian, Galician, Georgian, German, Greek, Gujarati, Haitian Creole, Hausa, Hawaiian, Hebrew, Hindi, Hmong, Hungarian, Icelandic, Igbo, Indonesian, Irish, Italian, Japanese, Javanese, Kannada, Kazakh, Khmer, Kinyarwanda, Klingon, Korean, Kurdish (Kurmanji), Kyrgyz, Lao, Latin, Latvian, Lithuanian, Luxembourgish, Macedonian, Malagasy, Malay, Malayalam, Maltese, Maori, Marathi, Mongolian, Myanmar (Burmese), Nepali, Norwegian, Odia (Oriya), Pashto, Persian, Polish, Portuguese, Punjabi, Romanian, Russian, Samoan, Scots Gaelic, Serbian, Sesotho, Shona, Sindhi, Sinhala, Slovak, Slovenian, Somali, Spanish, Sundanese, Swahili, Swedish, Tajik, Tamil, Tatar, Telugu, Thai, Turkish, Turkmen, Ukrainian, Urdu, Uyghur, Uzbek, Vietnamese, Welsh, Xhosa, Yiddish, Yoruba, Zulu, Language translation.

Copyright ©2025 I Love Translation. All reserved.

E-mail: