Polisi wawili wameuwawa na mmoja kujeruhuiwa baada ya watu wanasadikiw translation - Polisi wawili wameuwawa na mmoja kujeruhuiwa baada ya watu wanasadikiw English how to say

Polisi wawili wameuwawa na mmoja ku

Polisi wawili wameuwawa na mmoja kujeruhuiwa baada ya watu wanasadikiwa kuwa majambazi kuvamia kizuizi cha polisi katika eneo la Kipara Mapakani, kata ya vikindu, wilaya ya mkuranga, mkoa wa pwani. Taarifa kutoka kwa mkuu wa polisi kanda maalumu dar es salaam, suleiman Kova, majambazi hao walifanikiwa kupora bunduki mbili aina ya smg na risasi 30. aidha Kova alisema polisi inaendelea na uchunguzi ila kubaini kuwa tukio hili ni la uhalifu wa kawaida au ni la kigaidi kwasababu mbinu zilizotumika zinaashiria kuna ugaidi katika tukio hili. Polisi Mkoa wa Dar es salaam na Mkoa wa pwani wanendelea na uchunguzi na taarifa itatolewa baada ya uchunguzi
651/5000
From: Swahili
To: English
Results (English) 1: [Copy]
Copied!
Two policemen were killed and one kujeruhuiwa after people alleged robbers raided a police barrier in the area of ​​baldness border, cut the Makindu, district of desert, coastal region. Information from the chief of police special zone dar es salaam, Suleiman Kova, thugs they managed to loot a gun two types of SMG and shot 30 either Kova said police continues with the investigation, but realized that this event is of a crime of common or terrorist because techniques used indicate no terrorism in this event. Police Dar es Salaam and coastal region wanendelea and investigations and reports will be released after investigation
Being translated, please wait..
 
Other languages
The translation tool support: Afrikaans, Albanian, Amharic, Arabic, Armenian, Azerbaijani, Basque, Belarusian, Bengali, Bosnian, Bulgarian, Catalan, Cebuano, Chichewa, Chinese, Chinese Traditional, Corsican, Croatian, Czech, Danish, Detect language, Dutch, English, Esperanto, Estonian, Filipino, Finnish, French, Frisian, Galician, Georgian, German, Greek, Gujarati, Haitian Creole, Hausa, Hawaiian, Hebrew, Hindi, Hmong, Hungarian, Icelandic, Igbo, Indonesian, Irish, Italian, Japanese, Javanese, Kannada, Kazakh, Khmer, Kinyarwanda, Klingon, Korean, Kurdish (Kurmanji), Kyrgyz, Lao, Latin, Latvian, Lithuanian, Luxembourgish, Macedonian, Malagasy, Malay, Malayalam, Maltese, Maori, Marathi, Mongolian, Myanmar (Burmese), Nepali, Norwegian, Odia (Oriya), Pashto, Persian, Polish, Portuguese, Punjabi, Romanian, Russian, Samoan, Scots Gaelic, Serbian, Sesotho, Shona, Sindhi, Sinhala, Slovak, Slovenian, Somali, Spanish, Sundanese, Swahili, Swedish, Tajik, Tamil, Tatar, Telugu, Thai, Turkish, Turkmen, Ukrainian, Urdu, Uyghur, Uzbek, Vietnamese, Welsh, Xhosa, Yiddish, Yoruba, Zulu, Language translation.

Copyright ©2025 I Love Translation. All reserved.

E-mail: ilovetranslation@live.com