arehe 19.7.2000 saa4.5 asubuhi katika hosptl ya jeshi lugalo baba yetu mpendwa ndio ilikua siku yako ya mwisho kwani ulimaliza kazi duniani ulikufa tukiwa tunakuitaji sna baba yetu mpendwa, ulituacha tukiwa wadogo mimi na kaka yangu hamic lakini kwa rehema tumekua dady, leo tunafanya kumbukumbu nyumbani kwako ubungo rombo tutafuturisha watu jioni,unakumbukwa na jirani zako,shemeji zako,na wajukuu zako salma,akina wawili,najima na najati,bwana alitoa na bwana amwtwaa jina lako lihidimiwe amen.